Msanii Young Killer amepost picha kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram picha inayomuonesha akiwa darasani.
picha hii inaleta
tafsiri kuwa hivi sasa msanii huyu ameanza safari ya masomo ya IT safari ambayo aliihitaji kwa muda mrefu kiasi cha kutamka hadharani kuwa anahitaji kusoma.
Habari zaidi zinasema msanii huyu  amejiunga na chuo kiitwacho ‘Green Pasture’ jijini Daresalam
wiki mbili zilizopita.
tunamtakia kila lililo jema katika safari yake hiyo ya masomo.
Axact

Post A Comment: