2014-05-11
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini wamempongeza msanii mwenzao Diamond plutnums kwa kjchaguliwa kushiriki katika tuzo za Bet zinazofanyika kila mwaka nchini Marekani.Msanii Profesor Jay kupitia ukurasa wake wa face book ameandika maneno yanayoashiria kufurahishwa na hatua hiyo ambapo pia amepost picha inayomuonesha akiwa na Diamond.msaniimwingine aliyeonesha kufurahishwa na jambo hilo ni Ben pol ambaye anaamin kwa hatua aliyoifikia Diamond imefungua njia kwa wasanii wengine nchini. Diamond anakuwa ni msanii wa kwanza kwanza nchini kushiriki tuzo hizo na kwa mwaka huu anakuwa msanii pekee anayewakikisha kwa upande wa Afrika mashariki na anashiriki katika category ya Best international Act Africa

Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Halmashuri ya wilaya ya ilemela mkoani mwanza imesema ina  imani na utaratibu watendaji na wenyeviti wa mitaa wa kutunga sheria ndogo za usafi na kuwa utasaidia kupunguza kero ya uchafuzi wa mazingira.Utungwaji wa sheriamhizo utatoa uhuru kwa uongzio wa mtaa kuwachukukia hatua wale wote watakao bainika kuchafua mazingira.

Kauli hii imetolewa na mkuu wa wilaya ya ilemela Mkoani Mwanza Amina Masenza   akizungumzia juu ya mrundikano wa taka uliokithiri katika baadhi ya maeneo ya wilaya hiyo na yale ya kutupia taka .
Amesema uwepo wa sheria hizo utasaidia katika kupambana na uchafuzi wa mazingira katika wilaya hiyo
Aidha amesema uongozi wa halmashauri hiyo unakabiliwa na uhaba wa vitendea kazi na hivyo kusababisha kurundikana kwa taka katika maeneo ya kukusanyia.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na malalamiko ya uwepo wa mrundikano wa taka katika baadhi ya maeneo ya wilaya hiyo likiwemo la soko la kirumba.
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Wananchi wa mtaa wa miembeni b uliokuwa ukijulikana kama lidepu bugando jijini mwanza wanakabiliwa na kero mbalimbali zisizokuwa na kikomo kutokana na kukosa mwenyekiti wa kuongoza mtaa huo baada ya aliyechaguliwa kujiuzuru
Wananchi hao walisema hivi sasa hivi sasa wanategemea huruma ya mwenyekiti wa mtaa jiran kutatua kero zao ambapo naye wakati mwingine hushindwa kutokana na kuelemewa na shughuli za mtaa wake.
Mkazi wa mtaa huo aliyefahamika kwa jina moja la Boniventure alisema kukosekana kwa mwenyekiti katika mtaa huo kunawafanya wananchi hao kukosa sehemu ya kupeleka malalamiko yao na hivyo kero zao zikibaki bila ya kutatuliwa

Hivi karibuni naibu waziri ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa tamisemi Agrey Mwanry akijibu swali bungeni alisema hakutakuwepo na uchaguzi katika sehemu ambapo kiongozi wake amejiuzulu badala yake kutafanyika uchaguzi kwa sehemu ambazo kiongozi aliye kuwepo amefariki

Mwenyekiti wa mtaa wa miembeni b  alijiuzuru miezi minane tu baada ya kuchaguliwa na kusababisha pengo katika mtaa huo ambalo limedumu kwa zaidi ya miaka mitatu bila kiongozi hali inayosababisha wananchi wa mtaa huo kukosa mahali pa kupeleka kero zao
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Katikati ni Rais wa Vicoba Tanzania Bi Devotha Lukokora
Wanachi jijini Mwanza wameshauriwa kujiunga na viundi vya ujasiriamali ili kupata mikopo kwa urahisi na kujikwamua kiuchumi.Mratibu wa Vikundi vya kujiinua kiuchumi (Vicoba) Mkoa wa Mwanza Bw. Kamara Almasi akizungumza na Afya radio mwanza alisema watu wengi wamekuwa wakihangaika na wimbi la umasikini kutokana na kutojua namna ya kujiajiri na kujiingizia kipato.Ameeleza kutokana na mfumo wa nchi ulivyo watu wanapaswakujiunga katika vikundi vya kuweka na kukopa fedha ili kupata mikopo kwa urahisi akitolea  fano vikundi vha Vicoba. Aliongeza zaidi kuwa kujiungana Vicoba kuna faida nyingi ikiwa ni pamoja na kupata mtaji,vitendea kazi na pia elimu ya , uendesha biashara.Bw. Kamara alieleza kuwa ili kujikwamua kimaendeleo kunahitajika jitihada za dhati na hivyo wananchi wajiunge na Vikoba kwa kuwa kuna upatikanaji wa mikopo kwa urahisi kuliko Taasisi nyingine za Kifedha.

Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Msanii toka Kenya Jaguar amekaririwa na vymbo vya habari akisema kamwe hatofanya kazi na prezo licha ya Prezo kukaririwa na vyombo vya habari akiwa Tanzania akisema kuwa
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Taarifa kutoka katika mtandao wa Perez Hilton wa nchini Marekani zinasema ugomvi wa Jay z na shemeji yake ulitokana
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Kufuatia kuwa gumzo kwa baadhi ya watu hapa nchini na kuhoji juu ya mali alizo nazo msanii wa fialmu hapa nchini Irene Uwoya,ameamua kuvunja ukimya na kuzungumza
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Msanii wa muziki kutoka jijini Mwanza Tanzania na mshindi wa tuzo mbili za Ktma anayefahamika kwa jina la Fid Q amesema kinachomkwamisha kufunga ndoa ni mtoto aliye
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Msanii kutoka nchini Tanzania Nasib Abdul ama Diamond yupo nchini Uingereza ambapo ameripotiwa kwenda ku shoot video mpya. Taarifa kutoka kwa mpenzi wake aitwaye Wema
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Mke wa marehem Dr. Gilbert Buberwa akifarijiwa
Wizara ya Afya na ustawi wa jamii imewataka wananchi kuwa makini  na kutumia vyandarua vyenye dawa pindi walalapo mchana ili kujinusuru na ugonjwa wa dengue uliolipuka hivi karibuni jijini Dar es salam. Akizungumza bungeni mjini Dodoma hapo jana 
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

 Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la BBC watafiti kutoka Ungereza na Uholanzi wamebaini kuwa dawa za meno zinazotumika kila siku zina kemikali zinazoathiri uwezo wa mbegu za mwanaume kumpa ujauzito mwanamke.Katika taarifa hizo zilizoandikwa katika