wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini wamempongeza msanii mwenzao Diamond plutnums kwa kjchaguliwa kushiriki katika tuzo za Bet zinazofanyika kila mwaka nchini Marekani.Msanii Profesor Jay kupitia ukurasa wake wa face book ameandika maneno yanayoashiria kufurahishwa na hatua hiyo ambapo pia amepost picha inayomuonesha akiwa na Diamond.msaniimwingine aliyeonesha kufurahishwa na jambo hilo ni Ben pol ambaye anaamin kwa hatua aliyoifikia Diamond imefungua njia kwa wasanii wengine nchini. Diamond anakuwa ni msanii wa kwanza kwanza nchini kushiriki tuzo hizo na kwa mwaka huu anakuwa msanii pekee anayewakikisha kwa upande wa Afrika mashariki na anashiriki katika category ya Best international Act Africa


Axact

Post A Comment: