Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)
2013-07-21

Ray C Rachel
Wasanii wa kizazi kipya hapa nchini Rehema Charamila au Rayc na msanii mwingine aitwae Recho au Miss upepo huenda wakakutana na kurekodi wimbo.
Hatua hii imekuja kufuatia majibu aliyoyatoa Msanii Rayc kwa mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya kuulizwa anamchukuliaje Recho.
Subscribe to:
Posts (Atom)