2013-12-22
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Nasib Abdul au Diamond amesema anatarajia kuwasomesha watoto watatu ambao wameshinda katika
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Msanii wa muziki wa bongo nchini Tanzania Belle 9 amesema amefurahishwa na namna wimbo wake mpya wa "Wanitaka"
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Muanzilishi na mmiliki wa shindano la Bongo Star Search Rita Paulsen maarufu kama madam Rita amesema alipata mtihani mkubwa baada ya kupata ujauzito akiwa katika umri mdogo.
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

  Msanii wa muziki kutoka Kenya Avril Nyambura amesema pesa haikumfanya akubali kuwa na mchumba mfanyabiashara tajiri wa Afrika kusini na badala yake ni mapenzi tu aliyo nayo.