2014-01-19
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

 Na timesfm page
Wakati huu unaweza kuwa wakati wa kucheka kiaina kwa Huddah Monroe ambaye kwa kipindi kirefu alinyimwa raha na tambo za mrembo wa kitanzania aishie
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Msichana mrembo aishie Uingereza, aliyetajwa kwa jina la Sunshine Haye, amejitokeza na kudai kuwa na ujauzito wa mkali wa ‘Skelewu’, Davido na kwamba anatarajia watoto mapacha.
Kwa mujibu wa Naijaxclusive mrembo huyo ambaye
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Belle9 amesema kinachowasumbua wasnii wengi wa hapa nchini kutotambulika kimataifa ni kutokuwepo kwa connection nzuri baina yao na watu wa media katika nchi mbalimbali.
Akizungumza
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)
Msanii wa muziki wa RnB nchini tanzania ameelezea kisa kilichowahi kumtokea baada ya kupeleka baba feki shuleni ili kujinusuru na msala aliokuwa nao.

Akizungumza na Bongo20 msanii huyu amesema kuna msala uliwahi kumtokea kipindi anasoma ambapo alitakiwa kumepeka baba yake mzazi shuleni ili kufahamishwa utukutu anaoufanya mwananae.
Kwa mujibu wa