Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)
Msanii Chriss Brown amelazimika kuendelea kukaa jela hadi mwezi wa sita kutokana na kesi yake inayomkabili.
Kwa mujibu wa mtandao wa Tmz Chriss brown anaendelea kusota jela kutokana na kesi yake kuahirishwa na pia ombi lake kukataliwa na jaji anayesikiliza kesi hiyo.
Chriss brown anakabiliwa na shtaka la kumshambulia aliyekuwa menzi wake msanii rihana.