Msanii Kala Jeremiah amesema hafikirii tena kutoa albamu hivi karibuni na badala yake ataendelea:kuto wimbo mmoja mmoja kutokana na hasara aliyoipata matika:mauzo ha albamu hame ya Pasaka.Msanii huyo ameeleza kuwa mapato aliyoyapata yalikuwa ni ya hasara kinyume a matarajio yake kitu ambacho kimemkatisha tamaa.Ameeleza:kama itatokea akatoa albamu tena basi ni baada ya miaka mitano imayo lakini sio kwa sasa.Mapema :waka jana msanii huyo aliachia albamu yake aliyoipa jina la pasaka ambapo haikufanya vizuri sokoni.

Post A Comment: