Msanii wa muziki nchini Chidi benz ameripotiwa kufikishwamahakamani na kusomewamashitaka yanayomkabili.Habari zaidi zinasema msanii huyu a ekumbwa na hali hiyo kutokana madai yaku piga mpenzi wake wa zamani katika sikukuu ya Pasaka.Taarifa zinaeleza kuwa baada ya kusomewa mashitaka kesi hiyo iliahirishwana mpaka hapo mpenzi wake huyo atakapopata nafuu.


Axact

Post A Comment: