2013-07-28
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)
Diamond Platinumz
Baadhi ya mashabiki wa muziki nchini wameonesha kumkejeli msanii Diamond kupitia ukurasa wake wa face book.
Hali hii imekuja kufuatia Diamond kuandika katika ukurasa wake face book kwa kuwauliza mashabiki kuwa wanadhani amekewenda south Afrika kusoma nini.
Mashabiki hao kila mmoja alikuja na jibu lake wengine wakionesha kumkejeli na wengine wakionesha kumuunga mkono.
Imeripotiwa kuwa Diamond yuko South Afrika kwa ajili ya masomo
Hapo chni ni baadhi ya Comments za mashabiki