2013-09-15
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Sikiliza na Download wimbo wa Mr. Credit ft  Joss P - Niacheni
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

                                                              Selena Gomez

Msichana muigizaji Selena Gpmez ambaye alikuwa mpenzi wa msanii Justine Bieber ameshindwa kufanya show katika nchi ya Urusi kutokana na msimamo wake wa kutetea haki za mashoga.

Habari zaidi zinasema msichana huyu(21) alitakiwa kufanya show mbili mwezi huu wa tisa sept 23 na sept 25 lakini kutokana na msimamo wake wa kutetea haki za mashoga ameshindwa kupata viza kutokana na sheria za nchi hiyo kupingana na ushoga.