Msanii Abdon a.k.a Voice of lake zone anaonekana atakuwa tishio siku za usoni ambapo ikiwa ni wimbo wake wa kwanza na kwa muda mfupi tangu auachie ameonekana kugusa nyoyo za watu na kumuelewa kwa haraka katika jiji la mwanza na maeneo ya jirani. Ni kipaji kingine cha muziki kinachokuja kwa kasi na endapo kitapata usimamizi wa kazi zake kwa hakika kitafika mbali na kuwa changamoto kwa wasanii wengine nchini na nje.
Wimbo unaitwa Tomorrow amefanya katika studio za Silca music kwa producer Kazi moto. Kuthbitisha hilo down load na sikiliza wimbo huo ili upate ladha iliyomo hapa



Axact

Post A Comment: