Msanii Kala Jeremiah anayetamba na ngoma inayoitwa "Walewale" amesikitishwa na maelezo aliyoyaandika mssanii Diamond dhidi ya msanii mwenzake Ali Kiba.
Kupitia ukurasa wake wa face book Kala amesema alichokifanya Diamond sio kizuri.
 
Soma hapo chini alichokiandika
 
"ALICHOKIANDIKA MSANII DIAMOND KUHUSU ALI KIBA KUJIUNGA NA TAASISI YA SOCIAL CREDIT COMPANY NA KUPATIWA MKOPO. KIUKWELI SIO KITU KIZURI ALICHO POST DIAMOND KATIKA UKURASA WAKE WA TWEETER:"

Nanukuu: "Duh...! Nimesikia jamaa eti amejenga nyumba kafikia kwenye RINTA kashindwa kuimalizia kuficha aibu yake ameamua kujiunga na ile taasisi inayotoaga mikopo isiyokua na RIBA inayoendeshwa na RIDHIWANI KIKW...ETE. Hii inaonesha muziki umekukataa dili zimebuma shows zimekata mapesa yamekimbia. Duh Pole sana SINGLE BOY ALI KIBARAZA"

HAYO NDIO MANENO ALIYOANDIKA MSANII DIAMOND KATIKA TWEETER. ALIKIBA AKAMJIBU KAMA IFUATAVYO:

Nanukuu: "Yote Maisha ndugu yangu, kuna matajiri duniani wanapesa nyingi lakini wanapanga foleni kwenye mabank kuomba mikopo sembuse mimi Ali Kiba?! Kweli sikatai nimejiunga na SOCIAL CREDIT COMPANY na nimekopeshwa kwa faida yangu mimi na maisha yangu wewe kinachokuuma nikitu gani mpaka unakosa chakupost unazungumzia maisha yangu? Huwa sipendi Scandle kwa sababu wewe nakujua unapenda Scandle na kujibizana mitandaoni hizo ni tabia zakike. Kumbuka haya maisha kuna leo nakesho, maisha ni mzunguko wa sifuri wote tunazungukia sehemu moja. Kama kimekuuma mimi kujiunga na kupewa mkopo au umeona nafaidi sana nawewe jiunge ingia katika hii tovuti http://socialcredit.wapka.mobi/ ujiunge, mikopo haijaandikwa apewe masikini, tajiri au mtu maarufu wote sawa duniani na mikopo ndio kimbilio letu masikini kama wewe mwenzetu unajiona tajiri sawa ila sipendi kua unanizungumzia. Peace & Love. Alinukuu Kala.
Je hiki kilichoandikwa na Diamond ni sawa? yapi maoni yako?
Axact

Post A Comment: