2013-09-22
no image
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)
Hakuna binadamu anayekubali kuwa katika huzuni bali ni hali ambayo hutokea automatically.
Moja kati ya huzuni kubwa ni kuondokewa na yule unayempenda sana.
Kutana na mtu mja mnyonge sana ambaye aliondokewa na mwenzi wake kupitia wimbo wake Joss P.
Sikiliza wimbo na down load wimbo wa Safiri salama-Joss P ft B melody