2014-02-16
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Msanii toka nchini Markani Roby Rihana Fenty amesema kuwa alikuwa akipenda kvaa mavazi ya kiume ili awe na muonekano wa nusu jinsia ya kike na nusu jinsia ya kiume.
Akifunguka katika interview na jarida maarufu la Vogue la nchini Marekani msanii huyu amesema wakati yupo mdogo alipendelea sana hali hiyo hasa alipokuwa na umri wa 13 na 14.
“Nilipokuwa na umri wa miaka 13 au 14, sikuwa nataka kuvaa nguo ambazo mama yangu alikuwa anataka nivae. Nilikuwa napenda sana muonekano wa kivulana. Marafiki zangu wote walikuwa wavulana. Nilikuwa napenda vitu ambavyo wavulana wanafanya.” Alisema Rihanna.
Mbali na hilo msanii huyu amedai kuwa hakupenda kuwa maarufu licha ya kupenda kuimba tangu akiwa mdogo ambapo ameeleza alijibidiisha na mazoeziya kuimba mara kwa mara ili kuboresha sauti yake.
“Nilikuwa naimba sana kama mtoto, sana. Nilifanya mazoezi sana kuitengeneza sauti yangu. Napenda kuimba. Nilipenda na haikuwa ratiba ya kila siku. Sikupenda kuwa maarufu. Nilitaka tu muziki wangu usikike duniani kote. Kisha ikatokea na ikaja na umaarufu.”  Rihanna aliliambia jarida la Vogue.
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)
Remix ya wimbo wa msanii wa bongo fleva Kala Jeremiah unaoitwa Walewale utatoka hivi karibuni ukiwa umewashirikisha Juma nature,Young Killer,Ney lee na yeye mwenyewe Kala.
Kupitia ukurasa wake wa Face book msanii huyu ameandika maelezo yanayoashiria ujio wa wimbo huo ambao awali alitoa taarifa kuwa walikuwa wakiurekodi pamoja na wasanii hao.

#WALEWALE #REMIX INAKUJA SIKU SI NYINGI ft JUMA NATURE, @youngkillermsodoki and @neyleesupawoman Ameandika Kala.

Hadi hivi sasa baadhi ya mashabiki wameendelea kuusubiri wimbo huo huku wakiamini kuna mabadiliko makubwa yatatokea.
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa bongo Juma Kasimu Ali Kiroboto ama Juma nature ameamua kuondoa utata alioibuka juu ya kipande cha mistari katika wimbo wake mpya kinachotaja jina linalodhaniwa kuwa ni la Diamond.
Katika mahojiano na kituo cha Rfa msanii huyu amesema hilo jina la Dada mondi ni la msanii ambaye ni underground na kuwa anapenda misifa hivyo akaamua kumchana na sivyo kama watu wanavyodhani kwa ni Diamond.

Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Mke wa msanii @face Idibia toka nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Annie Idibiaameamua kulitolea uvivu jarida la Icon lililoandika habari kuwa mewewe amempa ujazito binti mmoja anayefanya kazi bank.
Kupitia ukurasa wake wa twitter Bi Annie ameandika maelezo yanayoonesha kukejeli habari hiyo kwa kuita jarida hilo kuwa ni jarida bubu.

“@AfricanCelebSpy hope u have gotn al d traffic needed 4 ur blog?Thr’s no diff b/w u n dumb icon mag!Evil ple tryn 2 take d suga out of our tea.” Alitweet Annie.

Jarida la Icon liliandika habari kuwa 2face alikuwa na uhusiano wa mapenzi kwa muda mrefu na mfanyakazi huyo wa bank na kwamba tayari ana ujauzito wa miezi mitatu wa msanii huyo.
Liliongeza kuwa chanzo chao kimesema mwimbaji huyo ameshambembeleza mfanyakazi huyo autoe ujauzito huo huku akimuahidi kumpa gari mpya endapo atafanya hivyo.
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Ni swali ambalo mashabiki wengi wa muziki wanajiuliza juu ya msanii Soulja boy kutoka Chicago Marekani ambaye ametoa taarifa kupitia mtandao wa kijamii wa twitter kuwa ataingia jela mwishoni mwa wiki hii.
Kupitia ukurasa wake msanii huyu ameandika maelezo yanayoonesha kuwa ataingia jela kitu ambacho watu wengi hawakufikiria.
“5 more days until I go to jail. Appreciate everyone who was there for me while I needed y'all.” Alitweet Souja Boy bila kutoa ufafanuzi zaidi.
Hata hivyo kuna taarifa kutoka katika mtandao  wa Tmz zinazosema kuwa msanii huyu hivi karibuni alishitakiwa kwa kosa la kuwa na bunduki na kuvuka bila kusimama katika eneo alilopaswa kusimama huko Los Angeles.
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Huenda msanii Nasib Abdul ama Diamond kutoka Tanzania akafanya ushirikiano na msanii D Banji kutoka nchini Nigeria.
Kupitia ukurasa wake wa face book msanii huyu Diamond amepost
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Msanii Juuma Kasimu ama Juma nature ameachia wimbo mpya unaoitwa kama jana ambao kwa ndani amemshirikisha
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)
Lile swali ambalo wengi walijiuliza juu ya ujauzito wa msanii Kim Kardashian sasa limepata jibu baada ya raper ktoka New york Mr Paper kuzungumza hadharani kuwa yeye ndiye baba wa kichanga cha bishost huyo.
Akizungumza katika interview
Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)

Kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabiri muigizaji wa kike, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu imesikilizwa leo (February 17) katika mahakama kuu, Kanda ya Dar es Salaam.
Lulu alikiri mbele ya Jaji Rose Temba kuwa alikuwa na