Msanii Juuma Kasimu ama Juma nature ameachia wimbo mpya unaoitwa kama jana ambao kwa ndani amemshirikisha
Lady Jaydee.
Habari zaidi zinasema katika wimbo huu wasanii hawa wamejaribu kuuuzungumzia muziki wa sasa na kulinganisha na wa zamani ambapo wameona ni bora wasanii wa sasa wakafanya mziki kama ule walioufanya wao zamani
Axact

Post A Comment: