Lile swali ambalo wengi walijiuliza juu ya ujauzito wa msanii Kim Kardashian sasa limepata jibu baada ya raper ktoka New york Mr Paper kuzungumza hadharani kuwa yeye ndiye baba wa kichanga cha bishost huyo.
Akizungumza katika interview
aliyoifanya kwenye ‘The Rickey Smiley Morning Show’ameeleza kuwa yeye ndiye baba na pia ni mume wa Kim.
"Tuko pamoja. Kila kitu kiko poa. Huyo ni mke wangu na huyo ni mtoto wangu.” Alisema Mr. Papers na kuongeza kuwa Lil Kim ana ujauzito wa miezi takribani sita na kwamba wanatarajia kupata mtoto kati ya mwezi May au June.
Rapper huyo aliiweka wazi jinsia ya mtoto huyo kwa kutumia kiwakilishi cha jina kinachomaanisha kuwa ni mtoto wa kiume na kumsifia kuwa atakuwa ‘Gemini’, yaani mtoto aliyezaliwa katikati ya mwezi May na June lakini mbunifu na mwenye akili.

Post A Comment: