Bongo 20 Blog ni blog ya kijamii inayokupa habari mbalimbali za kijamii pamoja na afya ikisimamiwa na Harith Jaha (Mr. Credit)
Msanii kutoka nchini Marekani anayefahamika kwa jina la Drake ametoa kali ya mwaka baada ya kuvaa wigi ndevu za bandia na kanzu kisha kuingia mtaani kuhoji watu juu yake.Habari zaidi zinasema msanii huyo alimuamua kufanya hivyo kwa lengo la kufahamu ni kwa kiasi gani anakubalika.Kupitia show ya Jimmy Kimmel live msanii huyo alionekana akifanya kitendo hicho ambapo baadi ya aliowahoji walionekana kumkubali na pia wengine walionekana kuwa sio mashabiki wake.