Juma nature |
Msanii wa muziki Juma nature kutoka Tanzania ameonesha kutofurahishwa na kitendo cha mwanamitindo na mtangazaji Jokate Mwegelo kuanzisha biashara ya ndala ili hali ilikuwa ni Idear yake. Katika mahojiano na Clouds fm Juma nature amesikika akisema yeye ndiye msanii pekee aliyekuwa na idear ya kutengeneza ndala na hivyo kujitokeza kwa mtu mwingine si sawa.
Jokate |
Post A Comment: