Wasanii wa muziki Juma Kasimu Ali a.k.juma Nature,Young killer waatarajiwa kusikika katika wimbo wa Kala Jeremiah uitwao wale wale ukiwa ni Remix ya
wimbo aliouachia hivi karibuni wenye jina hilohilo la Walewale.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa face book Msanii Kala Jeremiah wa Mwanza Tanzania amepost video pamoja na kuandika kuwa walikuwa njiani wakitoka kurekodi wimbo wa walewale remix alioufanya na Juma nature,Young Killer na Ney Lee.
  
KALA 0444
mE AND @neyleesupawomen @youngkillermsodoki and @iceboytz TUKIWA NJIANI TUKITOKEA STUDIO KURECORD WALE WALE REMIX ‪#‎WALEWALE‬ REMIX ft JUMA NATURE YOUNG KILLER AND NAY LEE.COMING SOON .sasa hapa tulikuwa tunachana wimbo wa taifa hahahaha u must watch this ‪#‎video‬ crazy
Axact

Post A Comment: