Msanii wa muziki hapa nchini anayetokea mkoa wa Mwanza Pancrs Ndaki Charles au Pnc amesema hadi sasa haelewi kama anafanya kazi na meneja wake Ostaz
juma na Musoma au la!
Kwa mujibu wa mtandao wa Bongo5 msanii huyu amekuwa njia panda kutokana ubize allionao meneja wake huyo.
msanii huyu amesema kuna wakati anawaza huenda meneja wake amekata tamaa na muziki na kuwa hakupenda haya mambo kuyatoa katika vyombo vya habari na badala yake alitaka amtafute Ostaz juma ili aongee naye kujua hatma yake.
Ameeleza zaidi kuwa amekuwa akitunga na kutoa nyimbo nzuri lakini amekuwa akishindwa kwenda mbali zaidi kutokana na uongozi wake kutokuwa serious.
Bongo20 inaendelea na juhudi za kumtafuta Ostaz Juma ili kuzungumzia swala hili

Post A Comment: