Msanii Lady Jaydee amelazimika kuahirisha show ya uzinduzi wa video na Audio ya wimbo wake mpya unaoitwa Simama kutokana na mvua zinazoendelea , unyesha jijini Dar es salam.
Kupitia ukurasa wake wa face book msanii huyo amepost picha na maelezo yanayoomba radhi mashabiki wake kwa kuahirisha uzinduzi huo na kuwaahidi kuuachia wimbo wake huo mapema juma tatu wiki ijayo









Axact

Post A Comment: