Msanii Shetah anayetamba na ngoma ya Kerewa amenusurika katika ajali ya gari iliyotokea wilayani Babati.Baada ya ajali hiyo msanii huyo amesema yeye pamoja na watu aliokuwa nao wamenusurika na hakuna aliyeumia zaidi ya maumivu madogo tu ya kawaida licha ya gari walilokuwa wakisafiria kuathirika.Habari zaidi zinasema msanii huyu likuwa akielekea huko kufanya show ambayo aliombwa na waandaaji akafanye ili kuziba gepu la mtu aliyejifanya Shettah na hatimaye kushtukiwa.

Post A Comment: