Huenda msanii Nasib Abdul ama Diamond kutoka Tanzania akafanya ushirikiano na msanii D Banji kutoka nchini Nigeria.
Kupitia ukurasa wake wa face book msanii huyu Diamond amepost
picha picha ikimuonesha yeye na Dbanj wakiwa studio ambapo aliambatanisha na maelezo yanayoashiria walikuwa wakifayna kitu katika studio hiyo.
Tazama alichokiandikahapo chini
" Busy day....Studio session with King D'Banj... Cc @iambangalee" aliandika Diamond.
Hata hivyo msanii huyo bado hajabainisha walikuwa nchi gani na katika studio gani na hata jina la hiyo kazi.
Awali msanii huyu kabla hajapost maelezo na picha hiyo alipost picha iliyomuonesha yeye na msanii Ay wakiwa safarini kuuelekea Johannesbug nchin Afrika kusini,hata hivyo hakuelezea kinachowapeleka huko.

 Tazama alichokinadika hapo chini

Flyn to Joburg with ma Brother @AmbweneAy Cc @A.Y @AyTanzania
Axact

Post A Comment: