Mke wa msanii @face Idibia toka nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Annie Idibiaameamua kulitolea uvivu jarida la Icon lililoandika habari kuwa mewewe amempa ujazito binti mmoja anayefanya kazi bank.
Kupitia ukurasa wake wa twitter Bi Annie ameandika maelezo yanayoonesha kukejeli habari hiyo kwa kuita jarida hilo kuwa ni jarida bubu.

“@AfricanCelebSpy hope u have gotn al d traffic needed 4 ur blog?Thr’s no diff b/w u n dumb icon mag!Evil ple tryn 2 take d suga out of our tea.” Alitweet Annie.

Jarida la Icon liliandika habari kuwa 2face alikuwa na uhusiano wa mapenzi kwa muda mrefu na mfanyakazi huyo wa bank na kwamba tayari ana ujauzito wa miezi mitatu wa msanii huyo.
Liliongeza kuwa chanzo chao kimesema mwimbaji huyo ameshambembeleza mfanyakazi huyo autoe ujauzito huo huku akimuahidi kumpa gari mpya endapo atafanya hivyo.
Axact

Post A Comment: