Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa bongo Juma Kasimu Ali Kiroboto ama Juma nature ameamua kuondoa utata alioibuka juu ya kipande cha mistari katika wimbo wake mpya kinachotaja jina linalodhaniwa kuwa ni la Diamond.
Katika mahojiano na kituo cha Rfa msanii huyu amesema hilo jina la Dada mondi ni la msanii ambaye ni underground na kuwa anapenda misifa hivyo akaamua kumchana na sivyo kama watu wanavyodhani kwa ni Diamond.
Post A Comment: