Remix ya wimbo wa msanii wa bongo fleva Kala Jeremiah unaoitwa Walewale utatoka hivi karibuni ukiwa umewashirikisha Juma nature,Young Killer,Ney lee na yeye mwenyewe Kala.
Kupitia ukurasa wake wa Face book msanii huyu ameandika maelezo yanayoashiria ujio wa wimbo huo ambao awali alitoa taarifa kuwa walikuwa wakiurekodi pamoja na wasanii hao.

#WALEWALE #REMIX INAKUJA SIKU SI NYINGI ft JUMA NATURE, @youngkillermsodoki and @neyleesupawoman Ameandika Kala.

Hadi hivi sasa baadhi ya mashabiki wameendelea kuusubiri wimbo huo huku wakiamini kuna mabadiliko makubwa yatatokea.
Axact

Post A Comment: