Diamond Platinumz |
Baadhi ya mashabiki wa muziki nchini wameonesha kumkejeli msanii Diamond kupitia ukurasa wake wa face book.
Hali hii imekuja kufuatia Diamond kuandika katika ukurasa wake face book kwa kuwauliza mashabiki kuwa wanadhani amekewenda south Afrika kusoma nini.
Mashabiki hao kila mmoja alikuja na jibu lake wengine wakionesha kumkejeli na wengine wakionesha kumuunga mkono.
Imeripotiwa kuwa Diamond yuko South Afrika kwa ajili ya masomo
muuza sura tu
kaenda kusomea wanawake na kutokuvua nguo jukwaani.
- jamani dada lily? hahahhaha
watu wana mambo ya ajabu sana wa kusoma hatakuwa Diamond kwa kuwa wenye kusoma wanachata usoni na yeye hana au? acheni wivu jaman mwacheni mtoto wa watu kama kaamua kuongeza elimu yake ni jambo la msingi, Diamond elimu haina mwisho pingania ulichoamua kukifanya utafika walimwengu ndo walivyo.
Masomo magumu c rahis rahis km anavyozani, na nivigumu kuchanganya music na masomo lazima achagua moja kusoma au kusimama kimuziki, na akisimama kimuziki akubali kusaulika
Wasiposoma mnawasema wasanii wetu elim ndogo,huyo kaamua kusoma mnaanza kumnanga,iv mbona hmna jema nyie binadamu,roho mbaya km sura zenu
Post A Comment: