Kesi ya madai iliyokuwa ikiwakabili wasanii nchini Marekani Drake na Chriss Brown dhidi ya wamiliki wa Night Club ya Green house iliyo jirani na ile ya W I P walikopigania imeripotiwa kufutwa.

 Chriss brown                                                                                Drake

Kesi ya madai iliyokuwa ikiwakabili wasanii  nchini Marekani Drake na Chriss Brown dhidi ya wamiliki wa Night Club ya Green house iliyo jirani na ile ya W I P walikopigania imeripotiwa kufutwa.

Habari zinasema jaji aliyekuwa akisimamia kesi hiyo ameifutilia mbali mara baada ya kuona haina msingi.

Jaji huyo alisema kutokana na hali hiyo wasanii hawa hawatalipa fiidia kwa club hiyo kutokana na kuwa tukio la kupigana kwa wasanii hawa halikutokea katika eneo lake.
Green house night club ilifungua kesi ya madai ya $ 16 million dhidi ya wasanii hao kama fidia kwa madai ya kuwa ugomvi huo uliharibu jina la club hiyo kutokana na vurugu zilizotokea hali iliyopunguza pato la club hiyo
Axact

Post A Comment: