Msanii Khalid Mohammed ama TID amesema yeye ndiye anaebamba zaidi kwa sasa huko Muscat na sioAli Kiba kama ilivyotajwa.


Kupitia ukurasa wake wa Face book msanii huyu ameandika kuwa yeye ndiye mwenye deal zaidi kuliko mwingine yeyote na kuongeza kuwa taarif zilizotolewa kuwa Ali kiba ndiye anayesikilizwa zaidi.

Hivi karibuni kuna taarifa ziliripotiwa kupitia Blog ya Bongo5 toka kwa Mtanzania aishie nchini humo kuwa Alikiba ndiye ndiye anaesikilizwa zaidi akifuatiwa na kina Dully.
Axact

Post A Comment: