Kanye West

Kufuatia mwimbaji wa R&B, Ray J kumdiss ex wake Kim Kardashian na Kanye West katika ‘I Hit it First’ miezi kadhaa iliyopita, Kanye hakuwa amejibu mashambulizi hayo mpaka Jumatatu ya wiki hii (September 9) alipotumbuiza kwa kushtukiza katika show ya
“Late Night With Jimmy Fallon”. Kanye aliperform wimbo wake wa ‘Bound 2’ unaopatikana kwenye album yake mpya ya YEEZUU'S na kubadili baadhi ya  mistari ambayo ni diss kwa Ray J ambaye pia ni kaka wa Brandy Norwood aliyemuita dada wa Brandy katika diss hiyo

' Brandy's little sister lame man he know it now....when a real brother hold you down you supposed to drown'

taarifa hii imekujia kupiti bongo5

Axact

Post A Comment: