Mkuu wa wilaya ya ilemela Amina Masenza amesema  wilaya yake itahakikisha inakusanya mapato katika kila chanzo ili kupata maendeleo ya haraka.
Akizungumza na afya redio hapo jana Masenza amesema kwa yeyote atakaye kwepa kulipa kodi
atachukuliwa hatua za kisheria kwa kuwa kodi hizo zimewekwa kisheria na ni lazima zilipwe.
 Ameongeza  halmashauri ya ilemela inajipanga kuimarisha ukusanyaji kodi kwa soko la mwaloni sambamba na kusimamia ukusanyaji  wa kodi katika jengo la kimataifa la biashara lililopo katikamtaa wa Gana pindi litakapo kamilika
Halmashauri ya wilaya inakusudia kukusanya mapato hayo kwa mara ya kwanzakama halmashauri inayojitegemea  marabaada ya kugawanywa toka halmashauri ya jiji la mwanza mwishoni mwa mwaka jana.


Axact

Post A Comment: