Msanii kutoka nchini Tanzania Mr. Blue amesema hadi hivi sasa amefanikiwa kuepukana na vurugu za wenye nyumba kudai kodi zao za nyumba kwa wapangaji wao. Akikaririwa na vyombo vya habari hapa nchini msanii huyo amesema hadi sasa amefanikiwa kupata nyumba yake mwenyewe ambayo ndio anaitumia kwa sasa kwendesha maisha ya,e na familia yake.Mbali na nyumba msanii huyo amekaririwa akimshukuru mwenyezi Mungu kwa kumpa uhai na kuwa anaamini uhai ndo kila kitu hivyo bila uhai hakuna chochote kinacnoweza kufanyika. Mapema tarehe kumi na nne mwezi huu msanii huyo alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo alionesha kufurahishwa na kitendo cha yeye kusherehekea simu hiyo kwa mara ya kwanza akiwa tayari amekwisha muwa baba wa familia.

Post A Comment: