Baadhi ya wasanii wa filamu nchini leo wanatarajiwa kuelekea nchni Uingereza mwa ajili ya kurekodi mobie yao mpya iliyopewa jina la Ughaibuni. Wasanii hao ambao ni pamoja na Cloud,Monalisa, Riyama Ally na Wastara wanatarajiwa kutumia zaidi ha wiki mbili wakiwa huko ili kukamilisha kazi hiyo ambayo inaongozwa na kampuni ya Didas entertainment ya nchini humo.

Axact

Post A Comment: