Msanii Diamond huenda akawa ni mmoja kati ya wananchi wanaoitakia mema nchi ya Tanzania kutokana na alichokiandika kupitia mtandao wa kijamii wa face book.Msanii huyo akiwa ameambatanisha na picha inayomuonesha akiwa na wasanii wenzake ameandika maelezo yanayowaomba watanzania kudumisha amani na kuepuka mambo yanayoweza kuvuruga amani nchini. Msanii huyo ameeleza kuwa wanachi wasikubali kuvurugwa kwani kuna watu wanaionea gere nchi yetu.




Axact

Post A Comment: