Msanii kutoka nchini Kenya anayefanyia shughuli zake jijini Mwanza Jepherson Mwita a.k.a Tony boy hivi karibuni ataachia video ya wimbo wake wa Weekend day aliyomshirikisha mtangazaji na muandishi wahabari wa kituo cha Afya radio Mwanza Harith Jahamaarufu kama Mr Credit.Akizungumza na bongo20 msanii huyo amesema tayari wamekwisha shoot baadhi ya vipande vya video hiyo na kuwa kuna vipande vichache vilivyosalia kuweza kuikamilisha video hiyo.Ameongeza kuwa watu wakae mkao wa kula kuipokea video hiyo ambayo amedai itakuwa ni moja kati ya video bora.Tazama moja ya picha hapo chini za baadhi ya vipande vya video hiyo





Axact

Post A Comment: