Hali ya majeruhi walionusurika katika ajali ya basi la Luhuye express hapo juzi inaendelea kuimarika ikilinganishwa na mwanzo walivyoletwa.Akizungumza na Afya radio muuguzi kiongozi wa idara ya dharura Dk. Doris Kyaruzi amesema hali ya majeruhi inazidi kuimarika siku hadi siku kutokana na huduma
wqnazoendele kuzipata katika hospitali hiyo ya Rufaa ya Buganndo.Hata hivyo baadhi ya majeruhi wameonekana kumlaumu zaidi dereva wa basi hilo kwa kutokuwa makini.Hadi hivi sasa jeshi la polisi Mkoani Simiyu linamshikilia mmiliki wa gari huku likiendelea na juhudi za kumsaka dereva wa basi hilo ambaye alikimbilia kusikojulikana.

Post A Comment: