Msanii wa muziki wa bongo nchini Tanzania Belle 9 amesema amefurahishwa na namna wimbo wake mpya wa "Wanitaka"
ulivyo pokelewa na mashabiki wa muziki katika maeneo mbalimbali.
Akizungumza na kipindi cha e news cha EATV msanii huyu amesema kwa upande wake limekuwa ni jambo zuri kuona kazi yake inakubalika.
Hivi karibuni msanii huyu aliachia wimbo unaoitwa "wanitaka" wimbo ambao una mahadhi tofauti na yale aliyokuwa akiyafanya.
Post A Comment: