Msanii toka Kenya Jaguar amekaririwa na vymbo vya habari akisema kamwe hatofanya kazi na prezo licha ya Prezo kukaririwa na vyombo vya habari akiwa Tanzania akisema kuwa
yupo tayari kufanya kazi na Jaguar.Jaguar ameripotiwa kuendel2a na msimamo wake baada ya kusikia taarifa za mpinzani wake huyo wa muda mrefu na kueleza kuwa hiyo ni ndoto.Wawili hao kwa muda sasa wamekuwa katika tofauti ambapo kila mmoja anaamini kuwa yupo juu zaidi ya mwenzake
Post A Comment: