Msanii kutoka nchini Tanzania Nasib Abdul ama Diamond yupo nchini Uingereza ambapo ameripotiwa kwenda ku shoot video mpya. Taarifa kutoka kwa mpenzi wake aitwaye Wema
Sepetu zinasema moja kati ya shughuli zilizompeleka nchini humo ni utengenezaj wa video ya wimbo wake mpya ambao hadi hivi sasa bado haujajulikana.Awali msanii huyo alipost picha kupitia ukurasa wake wa mtandao wa instagra inayomuoneshaakiwa uwanja wa ndege pamoja na msanii mwenzake Ommy dimpoz huku akiwa hajaandika chochote kuhusu safari hiyo. Naye meneja wa msanii huyo anayefahamika kwa jina la Babtale ame share picha inayomuonesha akiwa na msanii huyo na kuandika Asante Mungu tumefika salama in London.
Post A Comment: