CP: PARKLANE IMEKWISHA RUDI
Baada ya miaka kadhaa kupita kukiwa na ukimya kwa kundi la Park
lane hivi sasa imeripotiwa kundi hilo lililounganisha wasanii wa wawili Sumalee
na CP limerejea tena.
Kwa mujibu wa msanii mmoja kati ya wanaounganisha kundi
hilo Ilunga Khalifa au CP kundi hilo lip na tayari kuna nyimbo mbili zimeshafanywa
na mmoja wapo unatarajiwa kuachiwa kabla
ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kundi hili la Parklane
liliwahi kutamba enzi za nyuma na nyimbo kama Aisha,Nafasi nyingine kabla ya
kila mmoja kuamua kufanya kama solo artist.
Post A Comment: