Msanii kutoka nchini Uganda Jose Chameleon amepata dili la kutangaza utalii wa nchi yake. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa face book msanii huyu ameandika maelezo yanayoashiria kuwa amepata dili hiyo ikiwa ni pamoja na kuweka picha inayomuonesha akiwa pamoja na spika wa bunge la nchi hiyo bi Kadaga Rebeca.Mbali  na kupata shavu hilo pia ameteulia kuwa balozi wa shindano la kupanda mwamba wa Kagulu uliopo mkoani Buyele  ambapo shindano hilo linatarajiwa kufanyika mapema May 9-10 mwaka huu.

Axact

Post A Comment: