Kampuni ya mitindo ya nchini marekani ya Council of fashion designers of Amerika imesema itamtunuku tuzo ya mitindo ya mavazi msanii Rihana kutokana na muonekano wake wa mavazi pindi anapotoka na kuonekana kwa watu.Akizungumza hivi karibuni kiongozi wa kampuni hiyo Steven Kolb amesema wamefikia uamuzi huo kutokana na mapinduzi yaliyoonekana katika kiwanda hicho cha mitindo kufuatia mavazi anayotumia Rihana.Habari zaidi zinasema tuzo hizo zinatarajiwa kuatolewa june 2 mjini New york mwaka huu.Wasanii wengine waliowahi kuchukua tuzo hiyo ni pamoja na Lady gaga na Kate mos






Axact

Post A Comment: