LADY JAY DEE NA Q CHILAH KUJA NA NGOMA
Huenda ukawa ni ujio mzuri kwa upande wa Q chillah ambaye aliwahi kutamba kipindi cha nyuma na kisha kuonekana kuyumba katika siku za hivi karibuni.
Msanii Lady Jay dee ametweet kuwa yupo jikoni kwa ajili ya pishi la wimbo ambao anaufanya yeye na msanii Q chilla.
Katika tweet hiyo ameambatanisha na picha iliyowaonesha wawili ho wakiwa studio pamoja na Man water.
Hivi ndivyo alivyo tweet tazama hapo chini
Mtu 3 ndani ya studio. Mwaikumbuka Zamani - Q Chief feat Jide?? Nikilala naotaa, naota km unaniita. Sasa yaja mpya pic.twitter.com/Wua6Uwtzp9
Lady jaydee,Q chillah na Man water
Post A Comment: