Kuna taarifa zimeibuka leo hii zinazodai kuwa msanii aliyewahi kutamba na nyimbo kama starehe,bosi na Barua,Kamanda Maji ya shingo
na nyingine nyingi amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya bangi.
Kwa mujibuu wa baadhi ya mitandao ya habari hapa nchini msanii huyu amekamatwa leo katika Sinza jijini Dar es salam.
Hata hivyo blogu yako ya Bongo20 bado inaendelea kufuatilia habari hii ili kujua ukweli zaidi.
Axact

Post A Comment: