Akizungumza na Bongo20 mmoja wa wasanii hao msanii Op mtata ameeleza kuwa shughuli ya kuchukua vipande vya video ya wimbo zinaanza leo na kuwa hivi karibuni itakamilika.
Kuandaliwa kwa video hii inayotarajiwa kuachiwa muda wowote itakapo kamilika inakuwa ni miongoni mwa malengo waliojiwekea wasanii hawa kwa mwaka huu.
Post A Comment: