Msanii wa kike toka nchini Kenya anayefahamika kwa jina la Nyota ndogo ameripotiwa kuongoza maandamano kupinga udhalilishaji dhidi yawanawake anaodai umefanywa na msanii Colonel Mustapha.Taarifa zinasema Nyota ndogo amewaongoza wanawake wenzie kuandamana wakidai Mustapha aombe radhi.Nyota ndogo amenukuliwa na vyombo vya habari akidai kuwa Mustapha amewadhalilisha wanawake pia mama yake. MUstapha amejikuta katika hali hiyo ikiwa ni siku chache baada ya kuingia katika msuguano na Huddah Monroe akidai ni mpenzi wake wakati Huddah akikanusha na pia akidaiwa kupost picha za wanawake wakiwa watupu.




Axact

Post A Comment: