Taarifa kutoka katika chombo cha habari cha Daily star, zinasema Msanii Kanye West amepanga kumnunulia mkwe mtarajiwa Kim Kardashian migahawa 10 yenye hadhi za kimataifa.Habari zinasema msanii huyo amefikia uamuzi huo ikiwa ni katika jitihada za kuonesha utofauti kwa mwenzi wake huyo kuwa ni mume ambaye amempa zawadi ya kipekee.Taarifa zinasema kufuatia hali hiyo Kim huenda akawa mfanyabiashara ya chakula wa kimataifa kupitia migahawa hiyo ambayo inatarajiwa kununuliwa kutoka katika kampuni ya Bugger kingworldwide Inc ambayo inatarajiwa kuwa katika nhi za bara la ulaya zikiwemo Italia, Ufaransa na Uingereza.


Axact

Post A Comment: