Taarifa kutoka gazeti la new york daily zinasema waandaaji wa filamu za fast furios 7 wameandaa mpango utakaoonesha taswira na pia sauti ya msanii aliyefariki kwa ajali ya gari mwishoni mwa mwaka jana.Habari zaidi zinasema waandaaji hao wamekodi watu wanne wenye miili inayofanana na marehemu Paul Walker kisha kutumia teknolojia ya Computer generated imagery kwa kifupi  CGI.Paul walker alikuwa ni miongni mwa wasanii waliokuwa wakiigiza katika filamu za Fast furios na hata wakati anafikwa na umauti alikuwa ni miongoni mwa wasanii muhimu katika filamu yao mpya ya sehemu ya saba.




Axact

Post A Comment: