Fid Q (katikati)Young Killer(kushoto) na Adamu Mchomvu(kulia) |
Wasanii kutoka jijini Mwanza Fid Q na Young Killer wameweza kuweka muendelezo wa kuliweka jiji la mwanza katika ubora wa muziki baada ya kuchukua tuzo za Kilimanjaro music Awads.
Hii inakuja ikiwa ni baada ya mwaka jana jiji hilo kuwakilishwa vizuri na msanii Kala Jeremiah ambaye aliibuka na tuzo tatu.
Msanii Fid q amechukua tuzo za msanii bora wa Hiphop na mtunzi bora wa mwaka(hiphop) wakati young Killer akichukua tuzo ya msanii chipukizi.
Post A Comment: